ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 13, 2016

SHAA - SAWA OFFICIAL AUDIO

Haya .....haya tena baada ya kinya cha muda hata wengi wakadhani kuwa ndiyo hivyo huwenda safari yake ya muziki ndiyo bye-bye! La Hasha. Hatimaye Mwanadada anayekimbiza nchini kwa mikito ya BongoFleva za Kiswazi yaani mchanganyiko wa ladha ya viduku, miduara mnanda na mchiriku, Shaa kafumua jisongi lingine linaloitwa Sawa, chini ya productio za mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania Shirko. 

Pata nasafi ya kuisikiliza ngoma hiyo. 

BOFYA PLAY KUSIKILIZA 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.