ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 8, 2016

NUSU FAINALI YA PILI EURO 2016. UJERUMANI YACHAPWA 2 - 0 NA UFARANSA.

Antoine Griezmann celebrates with Andre-Pierre Gignac after France’s 2-0 win.

Baada ya kusubiri kwa muda wa masaa kadhaa mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano ya Euro 2016 uliyokuwa unamuhusisha timu mwenyeji, usiku wa July 7 2016 timu ya taifa ya Ufaransa ambao ndio wenyeji walicheza dhidi ya Ujerumani katika uwanja wa Stade Velodrome.
Huu ni mchezo ambao timu zote mbili zilikuwa zinapewa nafasi ya kushinda mchezo, ilaUfaransa walikuwa wana rekodi ya kuifunga Ujerumani mara 13, kupoteza mara 10 na sare mara 5, hiyo ni takwimu kwa mujibu wa mechi zao 28 walizowahi kucheza toka March 5 1931.
GOLI LA PILI.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.