ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 6, 2016

JANUARY MAKAMBA ASHIRIKI SWALA YA IDDI JIJINI TANGA.

 Waiislam wote ulimwenguni leo wanahitimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kusherekea sikukuu ya Iddi elfitir.
 Mhe. January Makamba ameitumia siku ya leo kushiriki ibada ya pamoja na wanachi wa jjini Tanga katika msikiti Mkubwa wa Ijumaaa.

 Mh.january Makamba akisilisikiliza Mawaidha mara baada ya Swala
 Mh.January Makamba akijumuika kupi swala ya Iddi na wakazi wa mji wa Tanga.
 Mawaidha yakiendelea.
 Mh.January Makamba Akepeana mkono wa Iddi na Baadhi ya Wauumini waliokuwepo msikiti baada ya Ibada.

Mh.January Makamba Akipiga picha na ukumbusho baada ya Ibada.

WAZIRI JANUARY MAKAMBA (MB) WAZIRI WA NNCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO, MAZINGIRA) ASWALI SWALA YA IDDI NA WANANCHI WA JIJINI TANGA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.