ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 14, 2016

MIJADALA YA BUNGE> NINI HATMA YA AJIRA KWA VIJANA? LINI ASKARI WATALIPWA KULINGANA NA VYEO VYAO?



Changamoto Zinazowakabili Vijana.

Mhe.Hawa Chakoma aihoji serikali juu ya utekelezaji wa adhma yake ya kutengeneza ajira kwa vijana; 




Malipo Ya Mishahara Kwa Askari Wanaomaliza Mafunzo.

Je ni lini askari wanaomaliza mafunzo kwa ngazi mbalimbali watalipwa  kwa wakati maslahi yao ili kuendana na vyeo vyao? Haya hapa majibu ya serikali. 




Ujenzi Wa Kiwanda Cha Mbolea Mtwara Vijijini.

Mhe. Hawa Ghasia aiwakia serikali kuridhia ujenzi wa kiwanda cha mbolea katika maeneo ya Msanga Mkuu Mtwara vijijini; 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.