ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 2, 2016

ONA UTALII NA UTAJIRI WA MWANZA KUPITIA KIMBUNGA CHA JEMBE FM SAFARI KUELEKEA JEMBEKA FESTIVAL 2016

Ni mwambao wa eneo la kivuko cha Busisi mkoani Mwanza majira ya jioni, Safari Kuelekea Jembeka Festival 2016 itakayofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba tarehe 21May2016, team Kimbunga ya Jembe Fm inapata view hii safi katika safari ya kuainisha maeneo mbalimbali ya utalii Kanda ya Ziwa.
Muoekano wa rangi ya dhahabi kwa moja ya vivuko.
Kutoka ziwa Victoria, muonekano wa juu ya miamba kuna msalaba ambao umesimikwa Jeh... wajua unaashiria nini?
Muonekano wa kidhahabu maadhari ya jioni jua kutuama (sun set)
Mwanahabari wako G.sengo na Captain wa kivuko muhimu tene tegemeo cha Serikali Busisi.
HII NI KAMPENI YA ILOVE MWANZA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.