ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 6, 2016

SIMBA YAKWEA KILELENI VPL

Timu ya Simba yaitandika timu ya Mbeya City kwa jumla ya goli 2-0 katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliofanyika hii leo jijini Dar es Salaam

Benchi la ufundi la timu ya taifa ya soka ya wanawake Twiga Stars limesema Twiga Stars bado inanafasi kubwa ya kusonga mbele katika michuano ya awali ya kuwania. nafasi ya kushiriki michuano ya Afrika kwa wanawake

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.