ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 6, 2016

KIPANDE CHA SEHEMU YA KUKAMATWA WALIMU 8 WATUHUMIWA WA KUJIHUSISHA KIMAPENZI NA WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI MIHANA MWANZA

Walimu 8 akiwemo mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Mihama katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza jana walishikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kwa kosa la kujihusisha kimapenzi na wanafunzi shuleni hapo.

Moja ya athari zinazotajwa kujitokeza na hata kuathiri dira ya elimu kwa waafunzi shule ya Sekondari Mihama ni tukio la mmoja wa wanafunzi wa kike shuleni hapo ambaye hivi majuzi alilazimika kuhama mkondo wa Sayansi na kwenda Art kufuatia manyanyaso aliyokuwa akifanyiwa na mmoja wa walimu hao aliyekuwa akimtaka kimapenzi

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.