ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 16, 2016

KESI YA EZEKIAH WENJE NA MBUNGE WA JIMBO LA NYAMAGANA DANADANA TENA

Kesi ya Uchaguzi aliyoifungua mbunge wa zamani jimbo la Nyamagana Ezekiel Wenje dhidi ya mbunge wa sasaStanslaus Mabula imeahrishwa tena hadi tarehe 22/03/2016. Mapema leo Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza liliweka ulinzi wa kutosha mahakamani hapo kiasi kwamba wananchi hawakuruhusiwa kabisa kukusanyika eneo la nje ya mahakama hiyo
Vikosi vya jeshi la Polisi vimeimarisha ulinzi Mahakamani hapo 
Barabara hadi barabara kuna ulinzi wa kutoka,Pale vikosi vinapo ongezwa.
Barabarazilizoko katikati ya Jiji la Mwanza

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.