ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, December 12, 2014

MAKARBISHO YA LEO FRIDAY NDANI YA 'THAI VILLAGE NA SKYLIGHT BAND' NI USIKU WA MSIMU WA MAPUMZIKO YA MWEZI DISEMBA

Divas wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya viunga vya Thai Village Masaki wakiongozwa na Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47 (katikati), Digna Mbepera (kulia) pamoja na Bela Kombo.
DSC_0016
Aneth Kushaba AK47 sambamba na Bela Kombo wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam.
DSC_0025
Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa bongo akifanya yake jukwaani kwa mashabiki wa Skylight Band huku akisindikizwa na Sam Mapenzi (kulia) pamoja na Joniko Flower.
DSC_0186
Sam Mapenzi na Sony Masamba wakifanya ya jukwaani huku wakitega kwa ukodak.
DSC_0183
Backstage nako walishindwa kujizuia nakuamua kupasha misuli moto huku wengine wakiendelea na kutoa burudani.
DSC_0184
Backstage nako walishindwa kujizuia nakuamua kupasha misuli moto huku wengine wakiendelea na kutoa burudani.
DSC_0026
Diva Digna Mbepera akitoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0038
Bela Kombo katika hisia kali akiwapa raha wapenzi wa bendi ya Skylight Ijumaa iliyopita ndani ya viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0067
Aneth Kushaba na Sam Mapenzi kwenye Kolabo kali ya Utake (nyimbo za Afrika mashariki) huku wakisindikizwa na Digna Mbepera sambamba na Bela Kombo.
DSC_0070
SAM MAPENZI;...Kuna Watu Hatari, Wenye Mapenzi Zenye Siri Kali,...Letu Nalo Lina Jua Kali, Penzi Letu Serikali,....Wajua Nakupenda, Malaika......ANETH KUSHABA; ...I'm Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I, Love You,(Aiyayaaaaa)…I'm Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I Love You,..(Aiyayaaaaa)..I'm Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I Love You, (Aiyayaaaaa)..I'm Going Koo Koo, Na Sijishuku I, I Love You.
DSC_0092
Hashim Donode akipiga vocal kwa hisia kali mpaka mishipa ya damu ikimsimama kichwani, hii yote ni kuhakikisha mashabiki wa Skylight Band wanapa ladha ya kitu roho inapenda.
DSC_0106
Nakupenda pia pia aha....Nakupenda pia...You make me wanna say....Nakupenda pia pia ahaa......Kolabo ya UTAKE matata sana inayowabamba mashabiki wa Skylight Band kati ya Bela Kombo na Hashim Dononde huku wakisindikizwa na Digna Mbepera.
DSC_0117
Mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower akiwapigishwa ligwaride Sony Masamba, Aneth Kushaba pamoja na Sam Mapenzi Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0114
Mdogo mdogo twende kazi sasa....Majembe ya Skylight Band yakiwajibika jukwaani.
DSC_0209
Shabiki alipoamua kupanda jukwaani nakuoyesha ufundi wake wa kucheza nyimbo ya "SHAKE BODY" aliyokuwa akiporomosha Sam Mapenzi.
DSC_0212
Pale wapenzi wa Skylight Band wanapokunwa na nyimbo hivi ndio muonekano wao mwingine kama analia, mwingine kashika moyo, mwingine kashika kichwa basi raha tupu tukutane leo jioni Thai Village.
DSC_0214
Oya shake body...Oya move body...Make you ring alarm o....Oya shake body burudani na iendeleeeeeeee!
DSC_0148
Hashim Donode aliposhuka jukwaa na kuwafuata mashabiki wa Skylight Band na kucheza nao Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0153
Aicha, Aicha, écoute-moi...Aicha, Aicha, t'en va pas..Aicha, Aicha, regarde-moi...Aicha, Aicha, réponds-moi...Si mwingine ni Hashim Donode akikonga nyoyo za mashabiki wa Skylight Band, njoo leo ushuhudie nyimbo mbalimbali kutoka Skylight Band.
DSC_0150
Hashim Donode wa Skylight Band akimwimbia mtoto mzuri aliyenogewa na uimbaji wake.
DSC_0158
DSC_0161
Kutoka kushoto ni Mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47 a.k.a KOMANDO KIPENSI, Sam Mapenzi pamoja na Sony Masamba wakipiga mavocal ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita.
DSC_0204
Mashabiki wakijiachia na sebene kutoka Skylight Band.
DSC_0164
Mashabiki wakijiachia na sebene kutoka Skylight Band.
DSC_0193
Mashabiki na style ya 'chuma chuma'
DSC_0175
Bela Kombo akiongoza mashambulizi jukwaani huku Aneth Kushaba na Hashim Donode wakicheza swagga za KIDUKU.
DSC_0178
Le Manager her self Aneth Kushaba AK47 na vijana wake Bela Kombo na Hashim Donode.
DSC_0189
Bela Kombo na Digna Mbepera wakipata Ukodak.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.