ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 29, 2014

KUELEKEA INSTAGRAM PART: BIKIRA WA KISUKUMA AJUMUIKA NA WANA MWANZA KATIKA KARAOKE NIGHT AT JEMBE BEACH

Seth aka 'Bikira wa Kisukuma', Jamaa siyo kudizaini tu na kucheza na mishono ya mavazi kama 'Fundi' pia ni mkali kwenye game ya kutupia mavoko kwenye beat ni Bo..bo...BongE la Singer hapa alikuwa akiimba wimbo wa Lione Richie 'Hello'  katika Karaoke Night iliyofanyika jumamosi ndani ya Jembe Beach Malimbe Mwanza ikihudhuriwa na wajanja wa mji. Bikira wa kisukuma yuko jijini Mwanza kwaajili ya kuratibu Instagram Party inayotarajiwa kufanyika tarehe 4/10/2014 Jembe beach.
Mkali mshindi wa Karaoke Night ya mwishoni mwa wiki ndani ya Jembe Beach, Jedo Dominic akiimba Dear Mama ya 2Pac.
Flowers hawa walitikisa sana mpango mzima wa Karaoke Night na sauti zao mororo, ilikuwa ni mwishoni mwa wiki Jembe Beach Mwanza.
Yeeeeeah the him self...hapa ilikuwa ni mistari ya hip-hop tu!!
Sebastian alishiriki vyema sana akafanya ashangiwe mwanzo mwisho.
Warembo wa Rock City wakihusika na Karaoke Night iliyofana mwishoni mwa wiki naizungumzia Jumamosi ya tarehe 27sept2014.
Ni mistari ya Hip hop na chorus ya R&B, Kama The Game akiwa na ......dah balaaaa.
Sebastian na crew yake.
Dj Davvy.
We.
Seth na Mmarekani mmoja hivi.
Dj K-Flip, represent Jembe DJz.
Selfie ya mie (L) na Victor Maleko (R)
Dj K-Flip akiongoza mchakato wa kusaka mshindi....Uskose kila jumamosi.
'Mshindi wa Karaoke Night ya 27sept2014 ni Jodo' na hapa akitunukiwa zawadi zake na mmoja kati ya wawakilishi wa Club Jembe.
Pepsi walikuwa ni sehemu ya wadhamini.
Wakipata 'u-snape' Jodo na fans wake.
Seth na shabiki wake jamani.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.