ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, September 21, 2014

HII NDIYO KAMANYOLA MPYAaaaa YA VILLA PARK MWANZA

Rais wa bendi ya Och Kamanyola  Roy Mukulu (kushoto) akimtambulisha fundi mitambompya wa bendi hiyo aitwaye Fadhili, katika ukumbi wa Villa Park 'Sebuleni' wakati wa show ya utambulisho iliyofanyika juzi ijumaa jijini Mwanza. 
Ni namba nyingine mpya mwanamuziki wa kike Cindy akiimba kama sehemu ya utambulisho, katika ukumbi wa Villa Park 'Sebuleni' wakati wa show ya utambulisho iliyofanyika juzi ijumaa. 
Mpiga solo mpya wa Super kamanyola Frank Joshua.
Mfaume ni mpiga rydhim...
Bass guitar linakamatwa na Camorde.
Rapa mpya aliyeingia jiunga na Bendi ya Super Kamanyola 'Difender' ni matata huyo, machachari haswaaa awapo jukwaani ni moto wa kuotea mbali...!!
Zile chips hukaangwa na Totoo.
'Kolabo' la hatari toka kwa Rashidi Mwenzingo (kushoto) na mwanadada Cindy (kulia).
Brothers.
Kikosi kamili cha bendi ya Orch Super Kamanyola. kikiwa na madansaZ wake.
Kushoto ni densa aitwaye Patricia Nzomba akiwa na Mwalimu wa bendi Beno Villa Anthony. 
Tukutane Villa Park ule raha kila Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili..

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.