ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 18, 2014

PICHA KALI ZA USIKU WA AUG 17, KWA MARA YA KWANZA SERENGETI FIESTA KAHAMA

Stage lilivamiwa na wasanii wote ili kuimba kwa pamoja.
The place uwanja wa Taifa Kahama ilishona watu wa Kahama na wageni.
Moja kati ya supa nyota wa mwaka jana akifanya yake Fiestani
Ney wa Mitego na Stamina kwa stage.
Walitengeneza bonge la ligi.
Wacha watu walipuke kwa shangwe.
We bwana mdogo unanauli ya kurudi Moro?
Mo Music.
The light toka kwa simu.
Makamuzi ya Recho yalikuwa hatari.
Steps.
Wow...
Tofauti na ilivyodhaniwa Jux yu mmoja kati ya wasanii walioimbisha songi zake kwa raia mwanzo mwisho. 
Madee.
Bonge la kolabo la Madee na Mnyamwezi wake.
Mkali wa Olethemba Linah kwa back stage.
Full utata!! 
The best male vocalist Barnaba. 
Mr.Blue.
Selfieza hatari zilifanywa wakatiwa kuimba songi moja wasanii wote.
Mc wa tukio kutoka XXL ya Clouds Fm B12 (L) na Dj Fetty (R)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.