ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 10, 2013

ILIVYOKUWA HARUSI YA H.BABA NA FLORA MVUNGI

H Baba na mkewe Flora Mvungi katika pozi la siku ya sendoff ambayo ilifuatiwa na harusi ya kupendeza..

 "Kula mpenzi" Ni kauli ya Flora Mvungi ilisikika wakati akimlisha epo H. Baba kiashiria kuwa kamtambua ndani ya mamia ya wageni walioalikwa kwenye sendoff paty, kuwa ndiye chaguo la moyo wake....



Flora akimnywesha mumewe kinywaji cha kwanza mara baada ya ndoa kufungwa.
H Baba akisaini kitabu cha ndoa.
Flora naye akisaini kitabu cha ndoa.
Baada ya kuvuka mito,milima na mabonde hatimaye wasanii wa filamu na muziki Bongo Hamis Ramadhan Baba jina la jukwaa akifahamika kama  ‘H. Baba‘ na bi mdada kutoka Bongo Movie Flora Mvungi  weekend hii waliamua wakate vilimi vya watu wanaongea mjini na kufanikiwa kutimiza ahadi yao ya kufunga ndoa .

Tupe maoni yako

1 comments:

Note: Only a member of this blog may post a comment.