ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 14, 2012

WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA WAPEWA MAFUNZO YA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA HUDUMA ZA KIBINADAMU

Afisa Uhamasishaji Tanzania Red Cross Society, Bi. Stella Marealle akifundisha histori ya Chama Cha Msalaba Mwekundu na uasisi wake.


Washiriki wakifuatilia kwa makini semina hiyo iliyofanyika jijini Mwanza leo.


Mratibu wa mkoa wa Mwanza Pauline Kilele ambaye ni mmoja wa wawezeshaji toka Chama Cha Msalaba Mwekundu akielezea kanuni za chama hicho.


Washiriki wakifuatilia kwa makini semina hiyo iliyofanyika jijini Mwanza leo.


Media Officer wa ICRC Kenya Lynett Kaman akielezea mahusiaano ya Vyombo vya Habari na huduma za Kibinadamu.


Fredrick Katulanda ambaye ni mwandishi mwandamizi wa Mwananchi Communication akifundisha juu ya  wajibu wa vyombo vya habari katika huduma za kibinadamu. 


SSP Afande Rashid akiuliza maswali juu ya uhusika wa vyombo vya habari katika utoaji huduma za kibinadamu.


Mwenyekiti wa Tanzania Red Cross Society Mwanza akizungumza na washiriki kwenye ufunguzi uliofanyika leo jijini Mwanza na kushirikisha wanahabari Kanda ya Ziwa.
THE Tanzania Red Cross Society (TRCS) has warned the society over improper use of its emblem saying it is an offence, according to the law.

However, the TRCS is in the process of amending the law which guides the use of the emblem to check the perpetrators by endorsing stricter punishment.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.