ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 19, 2017

OFISI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA YATUMIA TEHAMA KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA KWA UMMA.

Je unajua jinsi TEHAMA inavyoboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma katika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Usikose kuangalia kipindi hiki uone jinsi ambavyo TEHAMA inasaidia kuboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma katrina taasisi hiyo

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.