ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, February 8, 2017

MAKONDA NA MAJINA 65 MAPYA YA WATUHUMIWA DAWA ZA KULEVYA, MBOWE, GWANYIMA, IDDI AZAN NDANI.
Akiwa katika awamu ya pili ya kupambana na Biashara ya madawa ya kulevya Makonda ameagiza: Wafuatao (Watu 65) wakutane katika kituo cha kati cha Polisi cha Kanda maalumu ya Dar es salaam Siku ya Ijumaa ambapo miongoni mwao ni, Aikaeli Mbowe, mchungaji Gwajima, Yusuph Manji, Mmiliki wa Slipway ambae analo eno la kupaki boti, mmliki wa yatchclub, mmiliki wa MMI, Mwinyi Machata, Rose ambae ana mtandao mpana, Kiboko, Mbunge mstaafu Iddi Azan, Pamba kali.Kuhusu ishu ya Agness Masogange iliyosemwa na Wema Sepetu? Paul Makonda amejibu hivi: "Mimi nina kifua cha kuhimili mikiki yote, kwa hiyo ni kama ina niongezea nguvu, sasa wewe umekamatwa unashindwaje kumtaja muhusika akakamatwa na uko sehemu husika? Hata hivyo mtu ukiwa mahabusu unawezaje kutumia simu? Hilo ni kosa na sasa vyombo vya usalama vina lishughulikia hilo"

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.