ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, December 18, 2016

MWANZA YAPANIA KUWA JIJI LA MFANO WA UKUAJI UCHUMI KWA VITENDO AFRIKA MASHARIKI.

Mgeni rasmi wa Jembe Corporate End of The year Party Mkuu wa Mwanza John Mongera akizumngumza kwenye kusanyiko hilo lililofanyika Jembe Beach Resort, likiwa na dhumuni ya kusherehekea Mwisho wa Mwaka wa hatua za ufanisi wa Jembe Media Group na mashirikiano kwa makampuni, mashirika na watoa huduma mkoa wa Mwanza.
Mgeni rasmi wa Jembe Corporate End of The year Party Mkuu wa Mwanza John Mongera amesema kuwa haoni sababu ya kushindwa kuongoza katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo kwani kupitia fursa zilizopo mkoani hapa wadau wakijipanga vyema kwa ushirikiano kama huu anaiona Mwanza mbali sana.
Mkurugenzi wa Jembe Media Group Dr. Sebastian Ndege akizungumza na wadau mipango mikakati kwa mwaka mpya 2017 - 2018 katika dhifa ya  Jembe Corporate End of The year Party lililofanyika Jembe Beach Resort, ikiwa na dhumuni ya kusherehekea Mwisho wa Mwaka wa hatua za ufanisi wa Jembe Media Group na mashirikiano kwa makampuni, mashirika na watoa huduma mkoa wa Mwanza.Mmoja kati ya vijana walio konga mioyo ya wahudhuriaji usiku wa Jembe Corporate End of The year Party ni Casmir S. Ndege ambaye alionyesha umahiri wake wa kutumia vyema elimu yake ya shule na ya mafunzo ya familia katika kupambanua mambo makubwa. Somo ambalo lilikuwa na manufaa kwa wahudhuriaji.
Team safu ya Viongozi wa Jembe Media Group ikitambulishwa kwa wadau.


Mkurugenzi wa Jembe Media Group Dr. Sebastian Ndege akizungumza na wadau mipango mikakati kwa mwaka mpya 2017 - 2018 katika dhifa ya  Jembe Corporate End of The year Party lililofanyika Jembe Beach Resort, ikiwa na dhumuni ya kusherehekea Mwisho wa Mwaka wa hatua za ufanisi wa Jembe Media Group na mashirikiano kwa makampuni, mashirika na watoa huduma mkoa wa Mwanza.
Mkurugenzi wa Exotic ExpeditionsTanzania LTD Junaid Kadri alitoa zawadi ya kiutalii kwa mshindi Dida Vitenge Wear (wa pili kutoka kushoto)  na wakwanza ni Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula, katika dhifa ya  Jembe Corporate End of The year Party lililofanyika Jembe Beach Resort, ikiwa na dhumuni ya kusherehekea Mwisho wa Mwaka wa hatua za ufanisi wa Jembe Media Group na mashirikiano kwa makampuni, mashirika na watoa huduma mkoa wa Mwanza.
Mkurugenzi wa Exotic ExpeditionsTanzania LTD Junaid Kadri.
Wadau.
Sisters.
Brothers.
Wakuu.
Smart.
Super.
Men In Black.
Nice one.
The machine.
Jembe Family....Jembe People....Jembe Crew in na de area.
Mgeni rasmi wa Jembe Corporate End of The year Party Mkuu wa Mwanza John Mongera akiwa na mkewe mama Mongela pamoja na Casmir S. Ndege wakikata keki ya hafla kwenye kusanyiko hilo lililofanyika Jembe Beach Resort, likiwa na dhumuni ya kusherehekea Mwisho wa Mwaka wa hatua za ufanisi wa Jembe Media Group na mashirikiano kwa makampuni, mashirika na watoa huduma mkoa wa Mwanza.Wafanyakazi wa Jembe Fm kutoka kushoto Dj Jacko, Mwaka Mzima, Elikana Mathias na Juma Ayoo
Jembe.
Jembe ni Jembe.
The Board.


The area na matukio.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.