ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 2, 2016

THE MBONI SHOW IMETINGA MWANZA YAKULETEA SAUTI YA MANAMKE.

......"Mambo mazuri hayaji hivi hivi kwani hata mimi kufika hapa sikuibuka tu kama Uyoga, Nilifanya kipindi changu cha Televisheni kwa muda wa miaka miwili bila sponsor, lakini leo nashukuru Mungu nimesimama mahala penye mafanikio. Uchapakazi na Ustahimilivu unalipa".......amesikika #KAZINANGOMA ya JEMBE FM 93.7 hii leo na @thembonishow  .....Yuko Mwanza kwaajili ya Semina ya wanawake na ujasiliamali, uwekezaji, mahusiano, familia na malezi, itakayofanyika Jumapili ya Tarehe 06 November 2016 Gold Crest Hotel.
Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.