ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, November 12, 2016

TASWIRA YA 'KIPENGA' ASUBUHI NDANI YA JEMBE FM

 Time yako asubuhi hii kukutana nasi kispoti zaidi #KIPENGA ndicho kipindi ukiwa na @jumaayoo @elikanamathias featuring wachambuzi wa siku ya leo ni @salehjembe na wakali wengine. Majogoli kuhusishwa kama kawa safari hii tunatua pale mjini Shinyanga na kisha tunapaa hadi jijini Dar es Salaam ndani ya Club ya Azam FC suala la kukuza vipaji #VeePe!!?!! Tupate popote ulimwenguni kupitia Google play store kwa kusachi JEMBE Fm HD kisha sikiliza LIVE kupitia simu yako ya mkononi AU nenda kwenye TUNe in search JEMBE FM aksante kwa kutusikiliza. @djscopion
BOFYA HAPA KUSIKIA 'MAJOGOLI'

Wachambuzi wa michezo ndani ya Studio za Jembe Fm Radio Mwanza wakiwa katika meza ya majadiliano subuhi hii.


Mkurugenzi wa Gazeti la The Champion ambaye pia ni mhariri wa michezo wa Gazeti hilo Saleh Jembe (kushoto) akiwa na mchambuzi wa michezo Emmanuel Mtindi wa Jembe Fm.


Mkurugenzi wa Gazeti la The Champion ambaye pia ni mhariri wa michezo wa Gazeti hilo Saleh Jembe (kushoto) akiwa na mchambuzi wa michezo Emmanuel Mtindi wa Jembe Fm.


Debe na Jembe.


Debe na Jembe two.
@salehjembe & @gsengo


#DebeNAjembe = "Linda kibarua chako, linda kazi yako, linda ajira yako, weka ubunifu kila iitwapo leo, waite wateja wako kwa ubunifu na ukarimu so piga Debe kwa style na kweli utafanikiwa" @salehjembe


Timu 'KIPENGA' ya leo 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.