ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, October 16, 2016

MISS TANZANIA 2016 KUFANYIKA OCTOBER 29 JIJINI MWANZA.

💯........ If the question was popped and now the issue of the day is finally locked.......................................... HII NI YA KUSISIMUA NI PALE AMBAPO BARABARA ZOTE ZITAELEKEA MWANZA. Haijawahi kutokea hii, ni kwa mara ya kwanza Shindano la kumsaka Miss Tanzania linafanyika nje ya jiji la Dar es Salaam na sasa litafanyika jiji la MIAMBA #iLoveRockCity #Mwanza save the date Jumamosi ya tarehe 29 October 2016. Vuta picha pale maandari ya Rock City Mall yatakapo badilika ghafla na kuwa kama sayari nyingine.... Warembo 28 wazuri toka mikoa yote nchini na wote jukwaa moja, lakini ni mmoja tu kuvikwa taji. Burudaniz hapa @officialalikiba hapa @bellachristian1 wengine #usimalizeUTAMu Langoni kiingilio Tshs 20,000/= Kawaida 50,000/= Gold 100,000/= Platinum Jembe Fm itaruka LIVE toka Red Carpet hadi matukio ya stage. Powered by @jembenijembe

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.