SIMU.tv: Kauli za Magufuli zakoleza mpasuko Zanzibar, Wafuasi wa Lipumba wakinukisha, Risasi zarindima makao makuu ya CUF Dar. Pata undani wa dondoo hizi za magazeti ya leo hapa.
SIMU.tv: Mwakyembe: Mafisadi wachochezi kukiona, CUF yaijibu kauli ya JPM, Utata mdororo wa mizigo bandarini, Pata dondoo hizi hapa:
SIMU.tv: Kauli za JPM Zanzibar yazua mjadala mzito, Padri amshukia Magufuli, Siri ya kupungua mizigo bandarini yabainika. Habarika na dondoo za magazeti ya leo hapa:
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.