ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 20, 2016

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI YA LEO July 20, 2016


Uozo wa mikataba ya polisi kufukuliwa, Bodi yatoa mikopo kwa marehemu walioacha vyuo, Baraza la wazee wa CHADEMA lamuombea JPM afya njema. Kwa undani zaidi tazama dondoo za magazeti ya leo hapa.


SIMU.tv: Bodi ya NSSF yanawa mikono kwa Dk.Dau, Nyayo za Lowasa kutikisa Dodoma,wanachuo 382 warejeshwa UDOM,JPM kununua rada 4 ndege 2 za abiria. Kwa undani zaidi tazama dondoo za magazeti ya leo hapa.


SIMU.tv: Kinana: Waliokisaliti chama wanaendelea kushughulikiwa, Siri kusimamishwa vigogo NSSF hii hapa, Benki kumpa JPM mabilioni ya Bajeti .Kwa undani zaidi tazama dondoo za magazeti ya leo hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.