ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 13, 2016

HUU NI UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO:- NILIKATAA VIMEMO VYA UTEUZI, Ma-DED 6 WAKACHA, JPM AAGIZA WALIMU KUKATWA MISHAHARA, KENYA YAICHEZEA RAFU TANZANIA.


CH 10: Magufuli: Nilikataa vimemo vya uteuzi, Ma-DED sita wakacha, JPM aagiza walimu kukatwa mishahara,Kenya yaichezea rafu Tanzania, Mkurugenzi mpya atumbuliwa kimya kimya. 

TBC: JPM: Sikuchagua ma-DED vilaza, watuhumiwa mil.7 kila dakika hawa hapa, Dkt Mwaka afutiwa leseni, Mtandao wav yeti na nyaraka feki wadakwa. Kwa undani zaidi pata dondoo za magazeti ya leo hapa.

MLIMAN TV: Magufuli awatia mzigo mzito Ma-DED, Magufuli aanika rushwa za JK, Nape: Sheria hazitakandamiza wanahabari na klabu ligi kuu kulamba mil.126 kwa miezi 9. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.