ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 15, 2016

HONGERA ZITTO KABWA KWA KUFUNGA NDOA.

Sasa ni Mr. & Mrs, mbunge wa kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabweamemuoa mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyika Zanzibar.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.