ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 26, 2016

WALIMU WENYE VYETI FEKI WATAKIWA KUJISALIMISHA KWA HIARI KABLA YA SHURUTI


Nimekutana na hii "barua" mahali.Inavyoonekana muda si mrefu wenye vyeti "vya hapa na pale" wataanza kutafutana.

Likisimamiwa vizuri ni zoezi zuri na lenye tija kwa Taifa. Ila kwa upande mwingine tujiandae kwa "deficity" ya wale watakao "katwa".

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.