Mauza uza ya kifaru cha JWTZ kilichoibiwa, Wabunge wa UKAWA waapa kutowasalimia wa CCM, Lipumba agawa vigogo wa CUF. Yafahamu yaliyorindima katika magazeti ya leo hapa. JPM afyeka mafao yake, Vigogo kuondolewa kwa nguvu nyumba za serikali, Pata dondoo hizi hapa.
Askofu Gwajima ataka polisi wasubiri arudi toka ng’ambo, Lowassa aanza kujimilikisha CHADEMA, Mwigulu arudia ya Kitwanga. Pata dondoo hizi hapa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.