ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, June 9, 2016

MAGAZETI YA LEO JUNE 9> BAJETI YA MAGUFULI PASUA KICHWA, MSAMAHA WA KODI KATIKA VYOMBO VYA USALAMA YAFUTWA, WABUNGE WANAOSUSA VIKAO KUNYIMWA POSHO.


Bajeti ya Magufuli pasua kichwa, msamaha wa kodi katika vyombo vya usalama yafutwa. Wabunge wanaosusa vikao kunyimwa posho. 


Balozi Seif: Watumishi jiandaeni kabla ya kustaafu. Serikali ya Magufuli majaribuni. Mabomu yawakumbusha wapinzani katiba mpya. 


Ni bajeti ngumu, Wabunge wafutiwa msamaha wa kodi wa mapato malipo ya kiinua mgongo.Ukawa kunyimwa Posho na Mahakama ya mafisadi yapata fungu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.