ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 19, 2016

KIKOSI CHA YANGA VS MO BEJAIA LEO USIKU.

Na Zainab Nyamka

MWALIMU Hans Van De Pluijm ameonelea kutokana na mkanganyiko uliopo kuhusiana na beki wa kulia Hassan Kessy ameamua kumtumia beki kiraka Mbuyi Twite katika mchezo wa leo dhidi ya Mo bejaia na zaidi katika mazoezi ya mwisho jana usiku alimuweka Twite kucheza nafasi hiyo. 

Mabingwa wa Tanzania Bara (VPL), Yanga leo wanatarajiwa kuanza kutupa karata yao ya kwanza hatua ya makundi Kombe la Shirikisho (CAF CC) watakapomwnyana na Mo Bejaia nchini Algeria.

Mchezo huo utachezwa saa 4 usiku kwa saa za Algeria na saa 6 za Afrika Mashariki, utapigwa Stade de L Unite Maghrebine  nchini humo.


KIKOSI:

1: Deo Dida
2: Mbuyu Twite
3: Oscar Joshua
4: Kelvin Yondani
5: Vicent Bossou
6: Thabani Kamusoko
7: Simon Msuva
8: Harouna Niyonzima
9: Donald Ngoma 
10: Hamic Tambwe
11: Deus Kaseke

SUBSTUTE:

- Ally Bathez
- Mwinyi Ngwali
- Pato Ngonyani
- Antony Matheo
- Juma Makapu


- Godfrey Mwashiuya

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.