ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 8, 2016

DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO> POLISI YAIKABA KOO CHADEMA, POLISI MAJAMBAZI WAPAMBANA TENA, JINAMIZI LA LOWASSA LATIMUA WANACCM 62 RUVUMA.


Polisi yaikaba koo Chadema.  Polisi, majambazi wapambana tena. Jinamizi la Lowassa latimua wanaCCM 62 Ruvuma. 


NEC yamrudishia Magufuli chenji ya uchaguzi mkuu. Wananchi wamtega JPM. Serikali yazindua mpango kuboresha maisha ya Wananchi.


Wakala: wadaiwa CSI wanahujumu uchumi. Wapinzani kusoma bajeti kimtindo leo.  TMA yatabiri kuongezeka joto miezi ya June- Agosti. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.