ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 24, 2016

TAZAMA VIDEO YA MSANII MAYUNGA NA AKON ILIYOPAKULIWA NA MASHABIKI WENGI

Mashabiki wa muziki wamejitokeza kupakuwa kuitazama video ya Mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika Nalimi Mayunga aliyoifanya na mwanamuziki nguli nchini Marekani Akon

Bofya kwenye link hapo JUU uone LIVE Video hiyo ya Mayunga au hapo CHINI uone  mahojiano yake wakati akiwa nchini marekani. Utapata kujua jinsi ambavyo  Airtel kupitia shindano lake la Airtel Trace Music Stars lilivyomwezesha Mayunga kufikia ndoto zake

Official Music Video:
Mayunga Promo:

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.