ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 10, 2016

MAGAZETI YA LEO> SUKARI KAA LA MOTO. USAFIRI MABASI YAENDAYO HARAKA KUANZA LEO. LOWASSA ABADILI MWELEKEO AUNGANA NA JPM


Sukari kaa la moto, Usafari mabasi yaendayo haraka kuanza leo, Lowassa abadili mwelekeo aungana na JPM. Pata dondoo hizi hapa. 

Madiwani waibana UDA wachukua hisa zao, CHADEMA wasema Bunge la sasa kibogoyo, JPM asema wasumbufu wa sukari hawazidi 10.

Mabasi ya Mwendo kasi kuanza leo bure kwa siku mbili, Makonda awasimamisha kazi vigogo wa Manispaa, Pata dondoo za magazeti hapa. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.