ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 9, 2016

HASSAN KESSY ASAINI KUICHEZEA KLABU YA YANGA KWA MIAKA MIWILI.

Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy hatimae ameasaini kuichezea Klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, Hii ni baada ya mkataba wake na Simba wa miaka miwili kumalizika.

Zoezi hilo lilifanyika juzi usiku mjini Dar es Salaam. Akiwa na Meneja wa Kessy, Tippo Athumani na katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit.

Kessy ataanza kuitumikia Yanga kuanzia mwezi ujao.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.