ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 9, 2016

DALADALA NA FUSO ZAGONGANA USO KWA USO WANNE WAPOTEZA MAISHA.

TAARIFA ZA HADI SASA
Ifuatayo ni Orodha ya majeruhi 25 na wengine wa 4 waliofariki dunia.

Ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo katika eneo la barabara ya Mandela karibu na daraja la Matumbi Tabata. Ajali hiyo imehusisha Daladala ya Gongo la mboto ambalo linatajwa kuwa lilikuwa limejaza abiria wengi kupitiliza ndani yake pamoja na Roli lililo kuwa limebeba ng'ombe.

Mpaka sasa idadi ya watu waliokufa ni wa 4 ile hali waliojeruhiwa ni 25..

Tutaendelea kuwajuza kilahabari tutakayo ipata...
Ng'ombe waliokuwa wamebebwa kwenye roli lililo gongana na daladala wakiwa wamejikusanya katikati ya barabara baada ya ajali hiyo kutokea.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.