ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, February 19, 2016

WASEMAVYO MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA MWANZA KUELEKEA MCHEZO WA WATANI HAO WA JADI 20 FEB 2016.

Simba Sports Club.
Yanga Africans.

Wakati Yanga na Simba zikikutana kesho kwenye mchezo wa Ligi Kuu unaoitwa wa kisasi, siyo timu hizo tu zimeupania mchezo huo bali hata mashabiki wa timu hizo kubwa hapa nchini Tanzania.
Kutoka Mwanza hivi ndivyo mashabiki wanavyoronga pindi walipozungumza na SPORTS RIPOTI ya JEMBE FM.
Simba inayocheza mchezo wa 20 kesho, inaongoza ligi ikiwa na pointi 45, ikifuatiwa na Yanga yenye pointi 43 na mechi moja kiporo, Azam pointi 42 na mechi mbili za kiporo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.