Tupe maoni yako
Saturday, October 10, 2015
HALI YA UPATIKANAJI UMEME NCHINI YAZIDI KUWA TETE.
Hali ya upatikanaji wa umeme nchini yaendelea kuwa tete kufuatia Shirika la umeme nchini Tanesco kuzima baadhi ya mitambo katika bwawa la Kidatu kufuati kupungua kwa kina cha maji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.