Maandamano yalianzia katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kupitia barabara ya posta, kenyata hatimaye makongoro kuelekea mahala pa mashindano CCM kirumba.
Real na colour zao WAITIIiiii!!!
Arsenal mashabiki na timu yao Mwanza.
Inter Milan.
Liverpool Mwanza.
Real Madrid Mwanza.
Sisi ndiyo sisi hakuna anayefanana na sisi by mashabiki wa 'Mashetani wekundu'.
Kona ya Furahisha kuelekea kirumba.
Ac Milan hawoooo!!!
Ni majigambo, utani na vijembe vilitawala kwenye Paredi la Serengeti Fiesta Bonanza Mwanza wakati mashabiki wakielekea kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba.
0 comments:
Post a Comment