Shirika la Reli Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa atika mitandao ya kijamii kuhusu fursa za ajira zaidi ya 200 zilizotangazwa na Shirika la Reli Tanzania - TRC.
TIMU YA VODACOM TANZANIA YAWAKUMBUKA WATEJA WAO MSIMU WA SIKUKUU KANDA YA
ZIWA
-
Timu ya Vodacom Tanzania Plc kanda ya Ziwa, wakijiandaa kugawa kapu la
Vodacom kwa wateja na wakazi wa Mwanza kwenye viwanja vya soko la samaki
kirumba....
30 minutes ago











