"Nilikuwa na ndoto siku moja nyimbo zangu zipigwe makanisani katika kumtukuza Mungu, Taifa letu linamalezi na makuzi ya kipekee tangu mwasisi wetu Baba wa Taifa hadi Rais wa awamu ya 6, Samia Suluhu Hassan, nashukuru hilo limetimia" Harmonize akijibu swali la mtangazaji wa Jembe Fm Mwanza, Natty E Brandy baada ya kuulizwa alijisikiaje Mtumishi wa Mungu Geor Devie kuucheza wimbo wake madhabahuni kwenye kanisa lake huku akimtabiria makuu na waumini wakishangilia
Maandamano Tanzania: Shughuli zarejea leo, ulinzi ukiimarishwa
-
Polisi Tanzania wameonyesha kuwa hali ya usalama nchini ni shwari, huku
hatua za ulinzi zikiwa zimeimarishwa kuhakikisha usalama na utulivu. Huku
Serikali ...
1 hour ago