Tarehe kama ya leo, Oktoba 25 miaka mitatu iliyopita, Watanzania walipiga kura katika uchaguzi mkuu na kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais. Katika uchaguzi huo uliokuwa na ushindani mkubwa, Dkt John Magufuli alichaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa #Tanzania.
0 comments:
Post a Comment