Wanafunzi3 majeruhi Vincent wasafirishwa, Mbunge ahofia maisha yake mauaji
Kibiti, Katibu CCM auawa kwa risasi 8, Yondani awapiga kijembe Simba.
Kamati 7 za Bunge kuunda chama kudhibiti ajali za barabarani, Upinzani:
Necta ichunguzwe sakata la vyeti feki, Jambaza laua kisa fedha ATM.
Habarika na dondoo hizi za magazeti ya leo hapa.
Nchi 10 zenye madeni makubwa zaidi Afrika
-
Kwa nchi nyingi, fedha ambazo zingetumika kwa maendeleo kwenye sekta za
afya, elimu na miundombinu sasa zinaelekezwa kulipia madeni.
0 comments:
Post a Comment