| Zawadi nyingine. |
| Mkutanoni wadau wa jiji la Wurzburg na Mwanza, Maadhimisho ya Miaka 50 ya ushirikiano wa Majiji Dada kati ya Jiji la Mwanza na Wurzburg. |
| Maelezo na ufafanuzi juu ya kinachoendelea kwenye mradi. |
| Utambulisho. |
| Wadau wa Mwanza. |
| Shukurani. |
| Uchumi wa Jiji la Mwanza umetoka katika kutegemea Uvuvi ambao umeathiriwa na uvuvi haramu ambao umesababisha uhaba wa samaki wenye viwango na sasa unategemea biashara rasmi na zisizo rasmi. |
| Meza kuu. |
| Jiografia ya kusanyiko. |
| Kina zaidi. |
| Mazungumzo. |
| Afisa uhusiano wa Jiji la Mwanza Dr. Kaaya |
| Meya Msaidizi wa jiji la Mwanza Mhe. Bhiku Kotecha. |
| Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio huo. |
| Wataalamu wa majiji dada wakijadili mengineyo kwa kina. |
| 50 years. |
| Picha ya pamoja. |
| Miaka 50 ya Undugu Wuzburg jiji la Mwanza. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment