| Mashine ya kupukuchulia mahindi. |
| Wananchi wakipata maelezo kutoka banda la halmashauri ya manispaa ya Shinyanga ubunifu wa kilimo cha mbogamboga kwa bustani ya jikoni kinaendelea na hapa mbogamboga zinakuzwa kwa umwagiliaji wa dripU |
| Mazao mengine ndani ya maonyesho ya kilimo viwanja vya Nyamongolo jijini Mwanza. |
| Kilimo cha zabibu na maelezo kwa wananchi. |
| Kutoka banda la halmashauri ya manispaa ya Shinyanga ubunifu wa kilimo cha mbogamboga kwa bustani ya jikoni kinaendelea na hapa mbogamboga zinakuzwa kwa umwagiliaji wa dripU |
| Maelezo kwa wananchi juu ya kilimo. |
| Lishe ya mifugo hususani ngombe na mbuzi inakatwa vipande vipande ili kurahisisha matokeo kwa maziwa ya kutosha na nyama kwa ukuzaji ng'ombe. |
| Kwa karibu. |
| Tunatengeneza wenyewe. |
| Kama umevutiwa kamata mawasiliano. |
| Vya asilia. |
| Asas |
| Maziwa na ..... |
| Umeelewa kitu kwa wale wapenzi Instagramuni........!!! |
| Katani....na bidhaa zake. |
| Mashine. |
| Matokeo. |
| Banda la Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. |
| Mihogo. |
| Wakala wa vipimo na nyenzo zake. |
| Kipande cha eneo la maonesho . |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment