| Ni Mansour Jumanne toka kipindi cha Kazi na Ngoma akifanya yake jukwaa la wananchi viwanja vya Maonesho vya Nyamhongolo jijini Mwanza. |
| Kutoka kipindi cha Mchakamchaka wakuitwa Mwaka The Don. |
| Kipaji hiki kili ishiwa mafuta #Hakunaaaa |
| Kutoka show ya mchana saa 7 hadi 10 Dj anayesimama time hiyo ni huyu wakuitwa Deejay Jacko |
| Namba mpya Jembe Fm. |
| Wananchi 'Majembe' |
| Wadau Jembe Family. |
| Burudani za wastaarabu...eneo la tukio. |
| Jiografia toka juu angani ndani ya eneo la tukio viwanja vya Nyamhongolo jijini Mwanza. |
| Rap .....vipaji. |
| Vipaji vingine ni kudance ....funika bovu. |
| Jamaica ndani ya Rock City toka pande hizi. |
| Zile chomaZ. |
| Safi na wafuasi. |
| Kutoka juu taswira ya usiku. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment