| Igoma kumekucha |
| Msemaji kutoka GSM akizungumza na wana Igoma kuhusu huduma wanazozitoa kupitia pikipiki zao mpya zenye ubora uliofanyiwa tafiti kulingana na soko na mazingira ya watumia barabara nchini Tanzania. |
| Muamko wa wana Igoma. |
| Ushindani katika Mkali wa Danadana ulikuwa mkubwa. |
| Maufundi hadi ndala zinakatika......balaaaaaaaa!!! |
| Ufundi na mautundu. |
| Alaaaaa......maufundi zaidi. |
| Ze area. |
| Mshiriki wa shindano la Sura Mbaya Igoma katika pozi la kucheka. |
| Wadau wa Igoma. |
| Pia mashabiki waliojitokeza viwanjani hapo walichomoka na zawadi mbalimbali kutoka kwa wadhamini hapa jamaa anaondoka na Tishirt ya StarTimes baada ya kujibu swali. |
| Mshindi mwingine katika maswali ya papo kwa hapo.. |
| Kijana huyo aliigiza moja kati ya sauti za matangazo ya Jembe Fm ambapo alimuigiza Mhe. Magufuli na kujinyakulia kalamu toka kwa moja wa wadhamini wetu StarTimes. |
| Ze area. |
| Pozi la kushangaa mshiriki toka Igoma. |
| Kucheka jeh!!. |
| Wawakilishi wa shindano la Sura Mbaya kutoka Igoma katika picha na wadhamini. |
| Wawakilishi wa kumsaka mkali wa danadana igoma Owasi Tiger (wapili kutoka kulia) na Chuse Juma (wapili kutoka kushoto) wakiwa wamewekwa kati na wadhamini kwenye picha ya pamoja. |
| Maufundi ya Jembe Djz na Deejay Jacko. |
| Mzigo wa mshindi toka GSM. |
| Me inade area. |
| Next ni Pasiansi wilayani Ilemela jijini Mwanza |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment