![]() |
| Nikiwa na Dj namba moja wa Kazi na Ngoma Jembe Fm Dvj Frank (kulia), Fundi mbambe (kati) nami Gsengo... mdogo mdogo at Jembe Beach Mwanza Tanzania. |
![]() |
| The menu.... |
![]() |
| Dr. Jembe (kati), Dvj Frank (kulia) na moja ya ma memba wa Jembe Family. |
![]() |
| (Service) |
![]() |
| Mimina mimina kwa main bar. |
![]() |
| Moja kati ya view za hatari utakazoziona ukiwa Jembe Beach Mwanza Tanzania. |
![]() |
| Another angle mazee. |
![]() |
| Paradiso ya Jembe Beach eneo ambalo hukodishwa kwa harusi, sherehe mbalimbali na mikutano ya nje. |
![]() |
| Njia ya kuelekea ukumbi wa Jembe Beach.. |
![]() |
| The view ya ziada ambayo ungetamani kuwapo. |
![]() |
| Yard ya Jembe Speed Boat hapa Jembe Beach ...kuelekea Kisiwa cha Mamba |
Tupe maoni yako












0 comments:
Post a Comment