| Wahamasishaji wakifurahia yao. |
| Mwenyekiti wa wilaya ya Rorya Namba 3 (kushoto) ndiye aliyemkabidhi Ilani ya CCM uchaguzi mkuu mwaka 2015. |
| Mratibu wa kampeni za Lameck Airo Bw. Daniel Lameck hapa akisalimia maelfu ya wananchi wa jimbo la Rorya katika mkutano wa kwanza wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi jimboni humo. |
| Kwa umakini wananchi wakisikiliza sera. |
| Ili kupata ridhaa ya wananchi hapa mbunge anayetetea nafasi yake jimbo la Rorya Lameck Airo alipata fursa kuzungumza na wananchi wake na kuakianisha sera za CCM kuelekea uchaguzi Mkuu 2015. |
| Toka kwa enzi na enzi vizazi na vizazi CCM nambari wani. |
| Timu ya ushindi mbio za kampeni CCM wilaya ya Rorya. |
| Ishara ya kukubalika. |
PICHA ZOTE: ZEPHANIA MANDIA WA GSENGO BLOG.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment