![]() |
Bw. Hassan na rafiki yake wakiwa ndani ya gari baada ya kuanza safari yao ya utalii ndani ya mbuga mashuhuri ya Serengeti mkoani Mara.
|
![]() |
| Hassan na rafiki yake wakipozi kwa ajili ya picha baada ya gari kujinasua kwenye matope..na hatimaye kuendelea na safari pembeni yao ni mwelekezi wao (Tour guide) |
![]() |
| Hassan akitumia darubini kuangalia makundi ya wanyama pori ndani ya hifadhi hiyo. |
![]() |
| Mshindi akiwa sehemu ya mandhari nzuri inayoitwa Ngorongoro plains ndani ya hifadhi ambapo waliweza kuangalia kundi kundi kubwa la simba na kupata maelezo zaidi kutoka kwa mwelekezi wao. |
![]() |
| Mshindi akipata chakula cha jioni ndani ya Serengeti plains baada ya mzunguko wa siku nzima. |
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment