![]() |
| Uparuaji ili kuweka usawa na hatimaye utandazaji wa tabaka la udongo umekwisha fanyika. |
![]() |
| Kutoka mbali kidogo na muonekano wa uwanja wa Michezo Nyamagana unaokarabatiwa na FIFA kwa ushirika wa Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia Shirikisho la soka nchini TFF. |
![]() |
| Chini kulia ni barabara kuu kuelekea lango la uwanja huo. |
Tupe maoni yako



0 comments:
Post a Comment