![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera akifungua warsha ya Mashirikiano baina ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa mikoa iliyo jirani na Hifadhi za Taifa . |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera akifungua warsha ya Mashirikiano baina ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa mikoa iliyo jirani na Hifadhi za Taifa . |
![]() |
| Baadhi ya washiriki katika warsha hiyo wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera alipokuwa akifungua warsha hiyo. |
![]() |
| Sekretarieti. |
![]() |
| Baadhi ya washiriki katika warsha hiyo wakifuatilia masuala muhimu ndani ya warsha hiyo. |
![]() |
| Meneja Mawasiliano, TANAPA Pascal Shelutete akitoa mada ya Utaratibu wa kutoa Taarifa kwa Umma juu ya masuala ya Ulinzi na Usalama wa Maliasili na Watalii. |
![]() |
| Washiriki wa warsha hiyo wakiwa katika picha ya pamoja. |
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment