![]() |
| Katika zoezi la kusalimiana kwa wachezaji wa timu ya Alonga Fc pamoja na Nyabikondo Fc hawakushikana kabisa mikono zaidi ya wachezaji wa timu hizo kupigiana makofi. |
![]() |
| Alonga Fc . |
![]() |
| Nyabikondo Fc. |
![]() |
| Soka linavyo vuta hisia. |
![]() |
| Hatari toka winga ya kushoto kuelekea katika lango la Nyabikondo Fc iliyozaa bao la pili na la ushindi kwa Alonga Fc. |
![]() |
| Mashabiki na kibwengo chao walichokivisha magwanda na juu kikavalishwa skafu ya kijani ya CCM na kitambaa cha njano rangi kikiandikwa 'KARIBUNI CCM'. |
![]() |
| Kibendera cha CCM ndipo ilipokuwa engo ya kona na kibendera cha Mountain Dew ndiyo uzio kwa mashabiki ambapo Pepsi walikuwa ni moja ya wadhamini wa Michuano ya Lakairo Cup 2014. |
![]() |
| Watu wa kada mbalimbali wameshiriki Maadhimisho haya ya Miaka 37 ya CCM jimbo la Rorya mkoani Mara. |
![]() |
| Wananchi wamekuja navyombo vyao vya usafiri. |
![]() |
| Kwa utulivuu matukio yakiendelea. |
![]() |
| Engo moja wapo ya jukwaa walilokaa makada na viongozi wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Rorya wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakijiri katika uwanja wa Kogalo Utegi wilayani humo mkoani Mara. |
![]() |
| Hapa niliombwa na wadau niwachukue picha wakisema nao wanataka kuonekana mtandaoni kuwa liibuka kwenye tukio. |
Tupe maoni yako

















0 comments:
Post a Comment